Wengi wanawaita Hackers.Hackers ni watu wanaoingia katika mtandao wa mtu na kuchukua taarifa zake pasipo mmiliki kujua.Na kuna mda mwingine huchukua mpaka file analotunzia taarifa mmiliki.Wadukuzi hawa Tunawaita Anomalous (wasihofahamika)
Tarifa zinaonyesha kuwa watu hawa huwa katika mitandaao tofauti tofauti na sehemu tofauti tofauti na pia huweza kujikinga kwa kupitia Virus wanaowatengeneza wenyew kwa kutumia language za computer na virus hao huwa wako faster kushambulia website au platform yoyote ile au kwa mtu atakayejaribu ku muattack hacker yeyote yule
Mfano wa vikundi vya kidukuzi ni Yahoo Boys Yemen hacker na kile kikundi kilicho hack account nyingi za kule urusi
Wadukuzi hawa maranyingi hutumia Internet cafe kufanya uharifu wao pamoja na VPN ili wasifahamike eneo waliopo au Hutumia Craked File kufanya uhalifu wao pia link zenye nywila bandia
Mtandao unaofahimika kwa kuwa na wadukuzi wengi ni Dark web yaan Tor browser mtandao huo mara nyingi ni mtandao ambao una vitu vingi vya haramu
Kuingia katika mtandao huo sio kosa bali inakuwa ni kosa pale utakao utumia vibaya na katika kuutumia utakutana na hackers wengi pamoja na scamers yaan matapeli
Mara nyingi unashauriwa katika mtandao huo usinunue kitu chochote au kuuza kitu chochote kama wew siyo mwenyeji na ukinunua yafuatayo yanaweza kukukuta kupew kesi ya ugaidi au usafirishaji wa vitu haramu na uuzaji wa madawa ya kulevya Na pia Hata kuzima kabisa kwa kifaa unachotumia kuingia katika mtandao huo
Unaweza kujikinga na madhara hayo kwa kutumia Virtual private Network yaani VPN pia unaweza kujikinga kwa kuacha kabisa kufungua link zozote zinazoishia na onion kwa maana onion ndiyo nywila sahiihi ya Tor browser
Siku zote ili uingie katika mtandao huo vitu vifuatavyo ndivyo vinahitajika ambavyo ni Application ya Tor browser virtual Private Network yaan VPN au link inayoishiwa na onion pamoja na Musk ya kukukinga na mtu usiyemfahamu
Mtandao wa Dark Web huwezi kuupata kwa kutumia search Engine yoyite ile isipokuwa Tor browser tu na hizi Search Kama vile Chrome firefox mozzila google na nyingine nyingi hizo huwa tunaita surface web
Aisee wamiliki wa mitandao tofauti tofaut wanawafahamu hawa viumbe yaani hackers pale wanapokuwa wameshaatack account yoyote ile wamiliki huwa wsnaishia kushika vichwa tu hata pia serikali na makampuni tofauti tofauti
Wadukuzi hawa mara nyingi hutumia Cryptocurrency(pesa za kijiditali yaani pesa isiyoshikika)Wakishadukua account pesa huitaji zitumwe katika wallet za bitcoin ambazo ikishatumwa ni vigumu sana kumjua uliye mtumia
Chapisho hili limeandaliwa na BARAKA KIRIAN KISMAT..no Tan2&nia255 Respect all we don't forget thanks
Comments
Post a Comment