SITAHISAHAU TANZANIA(UNFORGETABLE TANZANIA)

TANZANIA ni nchi inayopatikana katika Ukanda wa Afrika mashariki.Nchi ya Tanzania Imeongozwa na viongozi wengi wakiwemo Hayati JOHN POMBE MAGUFULI na MWALIMU JULIUS KAMBALAGE NYERERE..TANZANIA inasifika kwa kuwa ni kisiwa cha AMANI.. TANZANIA ilipatikana kwa kuungana Kwa nchi mbili mwaka 1964 ambazo ni TANGANYIKA pamoja na VISIWA VYA ZANZIBAR chini ya viongozi wao MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA AMANI ABEID KARUME LUGHA...lugha inayotumika kwa Wakazi wote Wa TANZANIA ni KISWAHILI kwani ndyo lugha inayowaunganisha wakazi wote wa Africa Mashariki MAKABILA..Tanzania ina makabila zaidi ya 120 na makabila hayo yote yanatumia lugha moja na pia yanarlewa na kuwa na mshikamano..Makabila haya yanaunganishwa na na Lugha ya KISWAHILI MBUGA ZA WANYAMA..Tanzania ina mbuga kubwa kama vile Serengeti.. Hii ni Maarufu sana Tanzania na duniani kote kwani inatembelew na watalii kutoka mabara yote duniani na pia inasifika kwa kupokea wanyama wanaotoka katika nchi jilani yaani kenya VITU VINAVYOTOKEA KIASILI NA KUFANYA IONEKANE NI NCHI YA AJABU NA YA KIPEKEE ni 1.BONDE LA NGORONGORO Hili ni bonde ambalo linapatikana katika hifadhi ya NGORONGORO na Bonde hili wanyama pamoja na Binadamu huishi pamoja na pia lina simba wanaopanda miti MAKABILA 120 Makabila 120 yanayoweza kutumia luga moja ya kiswahili katika biashara na katika stadi za maisha MAPANGO YA KONDOA IRANGI Huko ndipo ile michoro ya mapangoni inapopatikana inasadikika ilichorwa kwa miaka 1000 iliyopita TWENZETU TANZANIA TUKATEMBEE NA KUIFURAHI NCHI ILIYO NA MAZIWA NA ASALI.....Tan2&nia255

Comments

  1. Safi sana nikiwa kama mtanzania mwenye kabira la mwalimu Nyerere nahnga mkono namkumbuka sana magufuri sitomsahau naendelea kumuombea hata leo nimemuombea maana amekufa kishujaaa.

    ReplyDelete

Post a Comment