MFUMO WA BRAKE

Abs Hydraulic modulator kazi yake ina modulate pressure ya hydraulic kwenda kwenye kila wheels, Abs modulator ina principal mechanism 2 moja ni Foward pressure na Backwards pressure, ndani ya Abs modulator kuna servo motor inayoongozwa na Abs electronic control kwa signal za pulse width modulation PMW ambazo zipo kwa digital waves from (square wave from) ambazo ECU inazipeleka kwenye Motor ya Abs na pia zipo kwenye Voltage range,ndani ya Abs modulator kuna sensor inaitwa hydraulic sensor ambayo kazi yake ni kupima pressure ya inlate from Master cylinder ili kuwe ku control itself, ndani ya abs pump kuna selonid valve 12 ambazo kila waya imeingia kweny selonid yake kazi ya selonid ni kufungua njia kwa wakati muwafaka na pia kuruhusu pressure kuwa backward s,kwenye disk na drum brake ushikaji wa drum na disk na drum inafanywa haraka sana kushika na kuachika(frequently) ili kuzuia tire is skid au ku-lock kutokana na pressure kubwa kupelekwa pale na ndyo logic ya Abs sensor kazi yake ni kupeleka signal kweny Abs Ecu kuwa tires zina mwendo kiasi gani ila activation action iwe kubwa,,yaan kile kitendo kiwe stand by kufanya kazi kwa uharaka,kwa iyo gari ikiwa na speed kubwa ndivyo system

Comments

Post a Comment